VIDEO: Gambo aibua mauaji ya twiga, Polisi wahusishwa amuomba Kigwangala kuwachukulia hatua


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amepokea Taarifa ya kamati maalumu iliyohusisha watu kutoka kada mbalimbali aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza  mauaji ya wanyama pori hasa Twiga wilayani Longido mkoani Arusha katika kipindi cha miaka miwili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia