VIDEO: Naibu Waziri agoma kutumbuliwa na Rais Magufuli

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Jumaa Aweso amesema kuwa hayuko tayari kutumbuliwa na Raisi Magufuli kutokana na wananchi kukosa maji yenye kuwatosheleza.

Akizungumza Mkoani Arusha katika mkutano wa wanawake amesema kuwa tayari mabilioni ya fedha yametengwa kwa ajili ya kumaliza tatizo la maji mkoani Hapa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi