Sakata la wavuvi baada ya kuendelea kushika hatamu ambapo wavuvi wamedai wakikosa haki za kuvua samaki kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa leseni na kutotumia jenereta na sola wamama ambao ni wanunuzi wa samaki hao na ambapo wamekuwa wakiuza rejareja, wamemlalamikia waziri mpina kuingilia kati suala hilo katika kutetea wavuvi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE..........
