VIDEO: Mabalozi wa nyumba 10 Wagoma, Kisa ..


Mabalozi wa Kitongoji cha Seuri kata ya Halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru wamegoma kufanya kazi zote zinazohusu wananchi na serikali baada ya mwanasheria wa Halmashauri hiyo Kileo Eliasifiwe kuwambia kuwa hawatambuliki kisheria.

Wakizungumza kwa uchungu Mabalozi hao wamesema walikuwa wanatumika kuhamasisha wananchi kuchangia ujenzi wa maendeleo ikiwemo ujenzi wa madarasa ambapo wamesema kazi hiyo afanye mkuu wa wilaya.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia