Waziri wa uvuvi na mifugo Mh. Luhaga mpina wamewaambia wananchi ambao ni wavuvi kuwa ni ngumu sana kuimudu wizara ambayo iliwahi kuwa wizara ya rais magufuli lakini amewaahidi wavuvi hao kuwa atajitahidi kumaliza changamoto zinazowakabili.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............
