Msemaji wa Yanga, Dismas Ten ameweka wazi kuwa wachezaji wao wawili wamepata majeraha hivyo wataukosa mchezo wao wa Alhamisi hii wa ASFC dhidi ya Biashara. Wachezaji hao ni Baruani Yahaya na Jaffar Mohammed, wakati huo huo Rafael Daudi na Juma Mahadhi wakiwa tayari wameanza mazoezi taratibu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
