BREAKING NEWS: Serikali yalipiga 'STOP' gazeti la The Citizen



Serikali imesimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la The Citizen kwa muda wa siku 7 kuanzia leo Jumatano.

Serikali imedai Februari 27lilichapisha habari ya upotoshaji kuhusu maoni ya wataalamu waliozungumzia kuporomoka kwa shilingi iliyochapishwa Februari 23, 2019.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia