Miongoni mwa waanzishi wa kipindi cha Clouds 360 kinachoruka kupitia Clouds TV na sasa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Hudson Kamoga akimzungumzia Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba ambaye amefariki siku ya jana.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE.....
