Jotoridi katika majimbo mbalimbali ya nchi hiyo limeshuka hadi kufikia nyuzi joto 40 chini ya sifuri
Kwa mijibu wa vyanzo vya habari vya Marekani, Hapo Jana eneo la Iowa kutokana na barafu kutanda njiani kulitokea ajali zilizosababisha watu 3 kufariki, Minnesota watu 2 walifariki baada ya kuganda kutokana na baridi kali.
