Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi makali mkoani Morogoro kwa ajili ya kujiaandaa na mchezo wao dhidi ya Simba SC siku ya Jumamosi. Hadi sasa Yanga SC inaongoza Ligi ikiwa imejikusanyia pointi 58 katika michezo 23 waliyocheza, wakati wapinzani wao, Simba SC wakiwa na pointi 36 pekee kibindoni walizokusanya katika michezo 15 waliyocheza.