.

2/11/2019

Picha: Rais Mstaafu Kikwete awasili Nigeria kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu


Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili Abuja, nchini Nigeria kuongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola kwenye Uchaguzi Mkuu nchini humo. Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Februari 16 mwaka huu.