Rais Magufuli aombwa radhi na UNHCR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Kamishna Mkuu wa UNHCR. Aombwa radhi kwa UNHCR kuingiza nchini nguo zinazofanana na sare za jeshi.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items