Timu 14 kuingia dimbani Leo Ligi Kuu Tanzania Bara


Mzunguko wa 25 Ligi Kuu Tanzania Bara Leo unaendelea katika Viwanja tofauti, timu 14 kuchuana kutafuta pointi tatu.

Timu zinazoingia dimbani,

Tanzania Prisons dhidi ya Mbao Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Singida United dhidi ya Yanga Uwanja wa Namfua, Singida.

Kagera Sugar dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Azam FC dhidi ya Alliance, Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.

Stand United dhidi ya Ndanda, Uwanja wa Nyamagana, Shinyanga.

Lipuli FC dhidi ya KMC Uwanja wa Samora, Iringa.

JKT Tanzania dhidi ya Biashara United Uwanja wa Mej.Gen. Isamuhyo.








Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items