Uzuri wa Irene Uwoya haujamuacha salama Wema Sepetu


Msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu ameonyesha kuvutiwa zaidi na muonekano mpya wa muigizaji mwenzake, Irene Uwoya.

Wema ameshindwa kuficha hisia zake mara baada ya kuona picha aliyoichapisha Irene kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Dope picture, katika picha zako zote, this one, picha na nusu," ameeleza Wema.

Wema Sepetu na Irene Uwoya ni miongoni mwa wasanii wenye nguvu kubwa ya ushawishi kwenye mitandao ya kijamii. Wema akiwa na wafuasi (followers) Mil. 4 kwenye ukurasa wake wa Instagram, wakati Irene akiwa na Mil. 2.6.
Mpya zaidi Nzee zaidi