Mkuu wa wiraya ya Tabora Komanya Kitwala iliyoko mkoani Tabora amewataka wananchi mkoani humo kutoa ushirikiano kwa serikali ili kuweza kutokomeza masuara ya vya ubakaji, ulawiti, ndoa na mimba za utotoni hatua ambayo inalenga kukomesha vitendo hivyo katika jamii ili kuwawezesha hasa watoto wa kike kufikia malengo yao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
