Mkuu wa Wilaya ya Hai. Lengai Olesabaya amepiga marufuku Kiongozi wa cha chochote kufanya siasa katika eneo hilo na endapo hata kama atafanya mkutano wa siasa azungumzie masuala ambayo aliwaahidi kuwatekelezea wananchi wa Jimbo lake.
Amezungumza hayo wakati wa Uwasilishaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika wilaya Hiyo ya Hai ambapo ametaja mambo mbalimbali yanayohusu wilaya yake ambapo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Kheri James.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
