VIDEO: "Uongozi ni koti la kuazima, kwenye begi langu natembea na Sanda ya kuzikiwa" - Kheri James


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Taifa Kheri James amewashangaza wananchi wa wilaya ya Hai na kuwaacha wakishangaa kwa kile alichosema kuwa yeye anasafiri  na Sanda yake katika begi kwa kuwa yuko tayari kufa kwa kuwa anajua maisha ya dunia ni mapito na sanda inaweza kumsitiri lakini cheo kina mwisho.

Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwasilishaji wa ilani ya Chama cha mapinduzi wilayani hai ambayo imewasilishwa na Dc Lengai Olesabaya.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi