VIDEO: Mbunge wa CCM ajitosa kwa Tundu Lissu, Zitto arushiwa kombora
byMuungwana Blog 2-
0
Mbunge wa Jimbo la Siha Dkt Godwin Mollel amemshauri Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu ambaye kwasasa yuko nje ya nchi kwa matibabu arudi nchini kwasababu anachokifanya huko hakiendani maadili ya Mtanzania.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE