VIDEO: Meya apiga mkwara wanaonyatia nafasi yake, "Nitakuwepo awamu ijayo kwa njia yoyote"


Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro (Chadema) amejiapiza kuendelea kushikilia nafasi hiyo katika vipindi viwili vijavyo na hakuna mwenye uwezo wa kumwondoa katika kiti hicho.

Lazaro amesema wakati alipokuwa akizindua kikundi cha New Vision saccos,cha jijini Arusha na kuwaeleza wanachama hao kuwa ataendelea kuwatumikia katika vipindi viwili na hakuna mwenye uwezo wa kukikalia kiti hicho.

Meya huyo amedai yeye ni mtu wa watu na amekuwa akifanyakazi na viongozi wa ngazi mbalimbali bila kujali itikadi za vyama vyao vya kisiasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE