Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amesema kesho atakuwa na kikao na kamati ya ujenzi kujiridhisha kama wana uwezo wa kusimamia kazi hiyo au awape kazi hiyo kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Oljoro huku akiwatolea uvivu wale waliomdanganya waziri Prof Ndalichako
Amesema atahakikisha kasi ya ukamilishaji wa madarasa, mabweni na bwalo vinakamilika kwa wakati ili kuruhusu wanafunzi kuanza masomo kwa wakati.
Amesema atahakikisha kasi ya ukamilishaji wa madarasa, mabweni na bwalo vinakamilika kwa wakati ili kuruhusu wanafunzi kuanza masomo kwa wakati.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISANHAU KUSUBSCRIBE