Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewasimamisha kazi watumishi sita wa Chuo cha Elimu Maalumu Patandi Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kwa makosa mbalimbali yakiwamo uzembe, matumizi mabaya ya fedha za umma na upotevu wa vifaa vya ujenzi wa Sekondari Maalumu Patandi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
