Mashabiki wa Simba mkoani Arusha wameonyesha kufurahishwa na matokeo ya ushindi wa timu yao dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika. Mchezo huio umechezwa Jumanne hii katika uwanja wa Taifa na Simba imeeibuka kwa ushindi wa bao 1-0 na kufikisha idadi ya alama sita katika kundi lao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
