VIDEO:Jerry Muro abaini madudu ya ukwepaji kodi sheli za mafuta, atoa maagizo

Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amebaini moja ya tatizo linalokosesha wilaya hiyo mapato kuwa ni vituo vya mafuta (Sheli) Kukwepa Kodi kutokana na usajili wake lakini kama wilaya wamejipanga kuhakikisha wanazifuatilia ili kupata mapato ya halmashauri na kutoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items