Wanamgambo 24 wa kundi la Al Shabaab waangamizwa na Jeshi la Marekani

Wanamgambo 24 wa kundi la al shabaab nchini Somalia waangamizwa na jeshi la Marekani katika operesheni yake  Hiran.

Jeshi la Marekani ambalo linatambulika kama AFRICOM, limeshambulia kambi za wanamgambo hao kwa lengo la kudhoofisha  nguvu za kundi hilo kuendesha amshambulizi dhidi  ya raia nchini Somalia.

Baada ya operesheni hiyo, usalama umeimarishwa katika ofisi za  mashirika ya kimataifa yanayopatikana nchini Somalia.
Mpya zaidi Nzee zaidi