Aliyepelekea Tanzania kushinda AFCON 1980, Ala shavu Ikulu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemzawadia shilingi Milioni tano Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Peter Tino.

Tino aliwahi kuwa ni Mfungaji wa bao lililopelekea Tanzania AFCON 1980 kushinda.

Rais Magufuli alimuita kuongea chochote leo Ikulu jijini Dar Es Salaam, baada ya timu ya Taifa Stars kushinda jana dhidi ya Uganda katika uwanja wa Taifa.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia