F Kutoka Ikulu: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine muda huu | Muungwana BLOG

Kutoka Ikulu: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine muda huu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Hassan Abeid Mwang'ombe kuwa PostaMasta Mkuu.