Taarifa toka Ofisi ya Makamu wa Rais iliyotolewa leo inawataka wote wenye leseni za kukusanya taka hatarishi ikiwemo Vyuma Chakavu, Betri zilizotumika na Taka za Kielektroniki kupeleke leseni zao halisi katika Ofisi za Kanda za Baraza la Mazingira (NEMC) kwa ajili ya uhakiki.