VIDEO: Waziri Mpina atema 'CHECHE' Ateketeza Tani 8 za Nyama mbovu


Serikali kupitia Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  Luhaga Mpina, imeteketeza shehena ya nyama mbovu za ng’ombe na nguruwe zenye viambata vya sumu zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na zilizokwisha muda wa matumizi tani 8 zilizoingizwa nchini kwa njia za panya na kuhatarisha afya za wananchi.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE.......


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items