Watu maarufu Tanzania wamuangukia Mbwana Samatta


Baadhi ya Watu Maarufu nchini Tanzania, wamempongeza Mbwana Samatta kwa Mechi ya juzi ya Tanzania dhidi Uganda, kupitia ukurasa wake wa Instagram, wasanii wa muziki na Filamu na watu mashuhuri wamepita kutoa pongezi kwa mchezaji huyo.

Zifuatazo ni baadhi ya Comment za watu mashuhuri hao walivyomiminika kwenye page yake.

vanessamdee
Verified
💫💫💫💫
1d202 likesReply

johmakinitz
💪💪
1d171 likesReply

bdozen
🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾
1d151 likesReply

flavianamatata
Verified
✊🏾✊🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿
1d140 likesReply


ecejay
LET’S GET IT Captain!! Congratulations!!!
21h53 likesReply

petitman_wakuache
🔥🔥🔥
1d45 likesReply

gamideetz
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
21h1 likeReply


hajismanara
Woyoooooooooooo @samagoal77
1d189 likesReply

officialbatuliactress
Haina Kufeli Baba 💪🏽🇹🇿
1d106 likesReply


monalisatz
Hakika umeiongoza vema Timu. Nimependa sana. 👏👏👏
1d107 likesReply

petitman_wakuache
Baba mpira wa ulaya ndo nimeona pale 🤣
1d103 likesReply

soggydoggyanter
Congrats mtu mbaya,leo uliamua kuwapiga kanzu tu @samagoal77
1d79 likesReply

chokadj
HAINA KUFELI PACHA 💪
1d50 likesReply

linexsundaymjeda
🙌🙌🙌 Asanteni
1d45 likesReply

wolperstylish
Sema tulishangilia saana sister 😂 @wemasepetu dah
19h42 likesReply

thembonishow
Pamoja sana mwana 🙌🙌🙌 @samagoal77
1d40 likesReply

mkubwafellatmk
Pamoja mwanangu
19h17 likesReply

sofia_amaan
Allah barik. kazi nzur sana mmetuwakilisha vyema
22h2 likesReply

halimakimwana1
Tanzania tunajivunia wewe 💪💪💪..! Yani katoto kako mbwiiiii👌👌
8h1 likeReply

dudebongo
Sifa na pongezi zaidi zirudi kwenu @samagoal77
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items