Picha: Serikali kufunga Rada nyingine mbili za Hali ya hewa Mkoa wa Mbeya na Kigoma


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi (kushoto) akisaini mkataba wa ununuzi wa Rada mbili za mamlaka hiyo na mwakilishi wa Kampuni ya Enterprise Electronics Corporation (ECC), Edwin Kasanga ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Infratech Ltd (T) leo jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limeshuhudiwa na Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Atashasta Nditiye (wapili kulia waliosimama) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TMA, Dk. Buruhani Nyenzi (wa pili kushoto nyuma). Wengine ni wanasheria wa pande zote, Emmanuel Ntenga wa TMA (kushoto) na Queen Allen wa ECC.








Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items