VIDEO: Fatuma Karume ashindwa kujizuia aangua kilio


Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS),  Fatma Karume ameangua kilio mbele ya wanachama wa chama hicho wakati akiwaaga baada ya muda wake kuisha ambapo amesisitiza kila mtu kusimamia haki na sheria za nchi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items