VIDEO: Polisi wala rushwa kukiona cha moto


Kamanda wa Polisi Mkoa wa  Mwanza Muliro Muliro amewataka askari polisi kuwa waadilifu kazini na kujiepusha na vitendo vya rushwa vinavyochafua taswira ya jeshi la polisi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items