LIVE: Rais Magufuli mgeni rasmi Maadhimisho ya MEI MOSI
byMuungwana Blog 3-
0
Bado Rais Magufuli yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya siku nane. Leo katika Maadhimisho ya Sherehe za MEI MOSI ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yanayofanyika mkoani humo.