VIDEO: Dkt Bashiru akanusha taarifa hii


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Dkt.Bashiru Ally amekanusha taarifa iliyoandikwa kwenye gazeti la Jamhuri juu ya CCM Kujadili ripoti ya CAG,akisema tangu kuanzishwa kwa chama hicho hakijawahi kujadili ripoti ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali (CAG)

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi