Picha: Mazoezi ya mwisho kwa Simba SC kabla ya kuwavaa Coastal Union
byMuungwana Blog 3-
0
Wachezaji wa Simba SC leo jioni wamefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) ambao watacheza kesho Jumatano dhidi ya Coastal Union kutoka mkoani Tanga.