Spika wa Bunge, Job Ndugai leo, Jumanne amekutana na uongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na baadaye alioongoza baadhi ya wabunge katika zoezi la kusajili laini kwa kutumia alama za vidole kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa katika viwanja vya Bunge Jijini, Dodoma.