Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amefanya ziara ya ghafla ya ukaguzi katika
Hospitali Kuu ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa jijini Dar es salaam na
kujionea namna hospitali hiyo inavyotoa huduma za matibabu kwa wananchi
wanaofika hospitalini hapo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE
