VIDEO: Uchaguzi wa Yanga hali tete, mashabiki waingilia kati


Baadhi ya Mashabiki wa krabu ya yanga mjini Makambako mkoani Njombe wamechukizwa na kitendo cha uchaguzi wa krabu hiyo kuhusishwa na wanasiasa hali iliyo walazimu wengi wao kutokuridhihwa na kitendo hicho kwa katika mcheo wa mpira umebeba watu wa itikadi tofauti.

kutokana na hilo  wamemtaka Rais wa TFF kujitokeza hadharani na kuomba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia