Mbunge wa Mtwara Mjini, Maftaha Nachuma, leo Bungeni amechangia katika makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Afya ambapo ameoiomba Serikali kuboresha sekta ya afya katika jimbo lake na kuahidi kushika shilingi ya waziri endapo hakuta kuwa na ahadi za uboreshaji wowote.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.......
