Kwa Majonzi makubwa Mkurugenzi wa Chuo cha St.Jose Training Trust, David Dominic, ameeleza kusikitishwa na kifo cha Dr.Mengi ambaye alimpigia simu miaka mine iliyopita akiuliza kuhusu fani wanazozitoa ,utaratibu wa kujiunga na malipo ambapo alimfadhili mwanafunzi mmoja kusoma chuoni hapo.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.......
