VIDEO: Ulinzi waimarishwa Machame, RC athibitisha

Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mgwira amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kusindikiza Mwili wa Dokta Mengi yamekamlika na amesema hali ya ulinzi na usalama imekamilika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia