Klabu ya Chelsea imekataa dau la £35m kutoka kwa Barcelona na Atletico Madrid kwaajili ya Willian.
Winga huyo wa Brazili ambaye anaingia kipindi cha kumalizia mwaka wake mmoja klabuni hapo na pia kukiwa na uwezekano wa kuondoka bure msimu ujao lakini Chelsea wamekataa kumuachia mchezaji huyo.