China: Watu 12 wafariki kwa tetemeko la ardhi, 125 wajeruhiwa


Watu 12 wamefariki na wengine 125 wamejeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi ukubwa la 6.0 kugonga mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China siku ya jana.

Usimamizi wa Dharura nchini humo umesema tetemeko la ardhi liligonga kata ya Changning ya Yibin saa 10:55 usiku. Jumatatu (masaa ya Beijing). Vifo vingi vilitokana na nyumba zilizoharibiwa na kuanguka, kulingana na waokoaji.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia