Uvuvi Haramu: Polisi Kilimanjaro wakamata ndoo 80 za samaki
byMuungwana Blog 3-
0
Polisi mkoani Kilimanjaro wamekamata ndoo 80 za samaki wanaodaiwa kuvuliwa kinyume cha sheria katika Bwawa la Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga. Pamoja nao pia wamewakamata wafanyabiashara wawili waaohusika na biashara hiyo.