Mchezaji wa Barcelona na mpenzi wake watembelea Mbuga ya Serengeti


Kiungo mpya wa Barcelona Mholanzi Frankie De Jong na mpenzi wake Mikky Kiemeney, wametembelea mbuga za wanyama za Serengeti hapa nchini.

Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji, Gonzalo Gerardo Higuaín anayeichezea Chelsea FC kuwepo nchini akitembelea vivutio mbalimbali


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia