Muonekano wa mlinzi wa Gor Mahia na Timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Joash Onyango akiwa katika maandalizi ya AFCON 2019 nchini Misri.
Picha ya mchezaji huyu zimeteka mazungumzo kwenye mitandao kwa kile kinachoelezwa kuwa amezaliwa Januari 31, 1992, hivi sasa ana umri wa miaka 27 pekee.