LIVE: BREAKING: Mtuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Kampala anaswa, Kamanda aeleza A-Z


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja ERNEST JOSEPH(19) Kibena huko maeneo ya Madale Mivumoni ambaye alihusika katika tukio la mauaji ya mwanafunzi wa mwaka wa pili aitwaye ANIFA MGAYA (21) wa chuo kikuu cha Kampala jijini Dsm huko maeneo ya Gongo la Mboto.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items