Luis Enrique abwaga manyanga timu ya Taifa Hispania

Kocha wa timu ya Taifa ya Hispania, Luis Enrique ameamua kuachia ngazi nafasi yake ya ukocha kwenye timu hiyo kwasababu za kifamilia na nafasi yake itachukuliwa na msaidizi wake Robert Moreno.

Enrique hakuwepo kwenye michezo mitatu ya timu hiyo dhidi ya Malta, Faroe Islands na Sweden kwakua alikua na masuala yake binafsi na Moreno kuiongoza timu hiyo kwenye hiyo michezo.

Moreno alishawahi kuwa msaidizi wa Enrique kipindi cha Roma, Celta Vigo na Barcelona lakini hajawahi kuwa kocha mkuu wa kikosi cha kwanza.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia