Manchester United yazidi kusota kwa Aaron Wan-Bissaka


Klabu ya Manchester United imeendelea kupata tabu baada ya ofa yao nyingine ya £50m kukataliwa na Crystal Palace kwaajili ya beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka.

Inaelewaka kwa ofa hiyo ilikuwa inaanzia kiasi cha £35m, na nyongeza ya £15m kwaajili ya mchezaji huyo ambaye yupo kwenyetimu ya Taifa ya Uingereza U21.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia