Picha: Mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 15 zilizoibwa na watumishi wa NIDA


Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa amesema watumishi saba wa Malmaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, kwa tuhuma za kukutwa na vitambulisho vya Taifa vipatavyo 15,000.

Kamanda Wankyo Nyigesa akionyesha baadhi ya mali zinazodaiwa  kuibwa na watumishi hao, vilivyoibiwa vya NIDA vyote vina thamani ya Tsh. Milioni 15.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items